Friday, January 4, 2013

MWABAGALU!!

Timu yetu ikijandaa kucheza na timu toka kijiji cha Ikigijo katika ligi ya Mwabagalu iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2012, Nkoma walishinda kwa goli 3 kwa bila.