kutoka kushoto ni mwalimu kassimu maguluruko,achristopher manamba akifuatiwa na mwanafunzi noah musa na marco minzi akifuatiwa na mwalimu thobias mnzava na Madam theresia tembo,Wakiwa katika graduation ya ASA.
Timu yetu ikijandaa kucheza na timu toka kijiji cha Ikigijo katika ligi ya Mwabagalu iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2012, Nkoma walishinda kwa goli 3 kwa bila.