Saturday, May 18, 2013
MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA 2013 LYUSA SEKONDARI.
PICHANI JUU WANAFUNZI WA LYUSA SEKONDARI KIDATO CHA PILI WAKIWA KATIKA MITIHANI YA KUMALIZA MUHULA WA KWANZA ILIYOANZA TAREHE 13/05/2013 NA KUMALIZIKA TAR 20/05/2013PICHANI CHINI NI WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE WAKIJIANDAA KUINGIA KATIKA MTIHANI WA KANDA ILIYOANZA TAR 13/05/2013.