KIWANJA CHA NETBALL SHULENI LYUSA, KAMA KINAONEKANA HAPO KINAHITAJI KUBORESHWA ZAIDI, KUNAHITAJIKA MAGOLI YA CHUMA, YALIYOPO SASA HIVI YAMETOKANA NA MTI AINA YA MGUNGA NA HIVYO NI RAHISI KUHARIBIWA NA MCHWA.
KATIKA KUDUMISHA MAHUSIANO MAZURI KATI YA KIJIJI NA SHULE, TIMU YA SHULE IKIJIANDAA KUCHEZA MECHI YA UFUNGUZI WA LIGI YA MWABAGALU NA TIMU KUTOKA KIJIJI CHA IKIGIJO, MECHI AMBAYO ILICHEZWA KWENYE KIWANJA CHA KIJIJI CHA MWABAGALU MEATU SIMIYU.