MAJENGO HAYA YANATUMIWA NA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI NA TATU, VILE VILE YANATUMIKA KUHIFADHIA BETRI PAMOJA NA SOLAR PANEL AMBAVYO NDIO VYANZO PEKEE VYA NISHATI YA UMEME SHULENI KWETU. |
MAJENGO AMBAYO HIVI SASA YANATUMIKA KAMA MADARASA YA FORM I NA FORM IVPAMOJA NA OFISI YA WALIMU |
CHOO HIKI KIMOJA NDIO WAKATI MWINGINE KINATUMIWA NA WALIMU PAMOJA NA WANAFUNZI. TUNAHITAJI MATUNDU MENGI ZAIDI ILI TUONDOKANE NA TATIZO HILI. |
HII NDIO SHULE YA LYUSA SEKONDARI. MAZINGIRA YANAHITAJI MABORESHO ZAIDI, TUNAHITAJI MADARASA, MAABARA, MAKTABA, OFISI, VYOO , NYUMBA , NA ZANA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA KUFUNDISHIA NA KUJISOMEA. |
NYUMBA MBILI TU ZILIZOPO KWENYE SHULE YETU. BARABARA HII INATOKEA ENEO LA MADARASA KUELEKEA KWENYE NYUMBA HIZO. |