SCHOOL CALENDAR

MWEZIWIKISHUGHULIMTEKELEZAJI
JANUARY21. Kikao cha Walimu na Watumishi wasio walimu..Walimu, Watumishi wote
  2. Kutayarisha maandalio ya masomo.. Walimu
  3. Kununua vitendea kazi vya shule vya kufundishia..Mwalimu mgavi
  4. Kufungua shule.. Walimu na wanafunzi
    
 31. Usafi wa mazingira.. Mwalimu wa mazingira na wanafunzi
  2. Semina ya Form I English Course.. Mkuu wa idara ya lugha
  3. Bunge la wanafunzi.. Wanafunzi
    
 41. Kuanza English course Form I.. Walimu, Wanafunzi
  2. Kufuatilia ulipaji michango ya shule.. Walimu wa madarasa
  3. Ukaguzi wa ufundishaji.. Mkuu wa shule
    
FEBRUARI11. Vikao Idara ya masomo.. Mwalimu wa taaluma
  2. Vikao Walimu na wanafunzi.. Walimu na wanafunzi
    
 21.Kikao cha Bodi ya shule.. Mkuu wa shule
  2. Usajili kidato cha IV.. Mwalimu wa taaluma
  3. Michezo ya Kimadarasa.. Mwalimu wa michezo
  4. Kupokea walimu wapya.. Mkuu wa shule
  5. Bunge la Wanafunzi.. Wanafunzi
    
 31. Kufanyika kazi madi form IV.. Mwalimu wa taaluma
  2. UMMISETA .. Mwalimu wa michezo, wanafunzi
  3. Kujaza kadi za maendeleo.. Walimu wa madarasa
  4. Kuandaa bajeti ya shule.. Mhasibu
    
 41. Michezo ya Madarasa.. Mwalimu wa michezo
  2. Ujazaji wa TSS 1-7.. Mkuu wa shule
  3. Ukaguzi wa ufundishaji.. Mkuu wa shule
    
MACHI11. Kumaliza kozi ya kiingereza..Mkuu wa idara ya kiingereza
  2. Upimaji Afya.. Mgeni mualikwa
  3. Ushauri kwa wanafunzi.. Mgeni mualikwa
  4. Kikao cha walimu.. Walimu wote
    
 21. Kutoa taarifa ya fedha.. Mhasibu
  2. Usafi wa mazingira.. Mwalimu wa usafi, wanafunzi wote
  3. Kuandaa mitihani ya muhula wa kati.. Walimu wote
    
 31. Kukagua ufundishaji.. Mkuu wa shule
  2. Bunge la wanafunzi.. Wanafunzi
    
 41. Mazoezi ya gwaride na ukakamavu.. Mwalimu wa michezo
  2. Ushauri.. Mgeni mualikwa
  3. Kuanza majaribio ya muhula wa kati.. Mwalimu wa taaluma
  4. Likizo.. Wanafunzi
    
APRILI11. UMMISETA.. Mwalimu wa michezo
  2. Kutayarisha taarifa ya fedha ya nusu mwaka.. Mhasibu
  3. Kikao cha walimu.. Katibu
    
 21. Ukarabati wa madawati na majengo ya shule.. Mwalimu wa matengenezo
  2. Kazi mradi form IV.. Mwalimu wa taaluma
    
 31. Kupanda miti na maua.. Mwalimu wa usafi na mazingira
    
 41. Mazoezi ya gwaride na ukakamavu.. Mwalimu wa michezo
  2. Kikao cha walimu.. Mwalimu wa malezi
  3. Bunge la wanafunziWanafunzi
    
MEI11. Majaribio ya mwisho wa mwezi.. Mwalimu wa taaluma
  2. Burudani.. Mwalimu wa michezo
  3. Upimaji wa afya.. Mwalimu wa malezi
    
 21. MOCK Form IV.. Mwalimu wa taaluma
  2. Ukaguzi wa dhana na maandalio ya ufundishaji.. Mkuu wa shule
  3. Ununuzi wa kitalu na zana za kufundishia.. Mwalimu Mgavi
    
 31. Utungaji wa mitihani ya majaribio ya muhula wa I.. Mwalimu wa taaluma
  2. Usafi wa mazingira.. Mwalimu wa usafi na mazingira
  3. Uwasilishaji wa mitihani muhula.. Mwalimu wa taaluma
    
 41. kuendelea na kumalizika kwa mitihani ya muhula wa I.. Mwalimu wa taaluma
  2. Usahishaji Mitihani.. Walimu
  3. Bunge la wanafunziWanafunzi
  4. Usaili tabia za wanafunzi.. Walimu
  5. Kujaza na kutuma C forms.. Mwalimu wa taaluma
    
JUNE11. Baraza la shule.. Wanafunzi, Walimu
  2. Kugawa Reports, Kufunga shule.. Walimu wa madarasa
    
 2, 3 & 41. Likizo.. Wanafunzi
  2. Taarifa ya fedha mwaka.. Mhasibu
    
JULY21. Kufungua shule.. Wanafunzi, Walimu
  2. Kufanya usafi wa madarasa na mazingira ya shule.. Mwalimu wa usafi na mazingira
  3. Kuanza ufundishaji.. Walimu
  4. Kikao cha walimu.. Katibu
    
 31. Upimaji afya za wanafunzi.. Mwalimu wa malezi
  2. Kukagua maandalio ya ufundishaji.. Mwalimu wa taaluma
  3. Usajili wa watahiniwa kidato cha pili.. Mwalimu wa taaluma
  4. Baraza la shule.. Mwalimu wa malezi
    
 41. Michezo na burudani za wanafunzi.. Mwalimu wa michezo
  2. Gwaride, Bendi.. Mwalimu wa michezo
    
AGOSTI11. Study Tours za wanafunzi..Mwalimu wa taaluma
  2. Majaribio mwisho wa mwezi.. Mwalimu wa taaluma
  3. Vikao vya idara.. Mwalimu wa taaluma
  4. Bunge la wanafunzi.. Wanafunzi
    
 21. kukagua ufundishaji vilabu.. Mkuu wa shule
  2. Kikao, watumishi wasio walimu.. Makamu mkuu wa shule
  3. Ushauri kwa wanafunzi.. Mgeni mualikwa
    
 31. Usafi wa mazingira.. Mwalimu wa mazingira na usafi
  2. Kufanya tathimini ya ufundishaji.. Mwalimu wa taaluma, walimu
    
 41. pre national form IV exams.. Kidato cha IV
  2. Vikao vya viranja.. Mwalimu wa malezi
  3.Uchaguzi serikali ya wanafunzi.. Mwalimu wa malezi
  4. Kutunga mtihani ya likizo fupi.. Walimu
    
SEPTEMBA11. Majaribio ya likizo fupi.. Wanafunzi
  2. Tathimini ya kitaaluma kidato cha IV.. Walimu
    
 21. Likizo fupi.. Wanafunzi
    
 31. Usafi wa mazingira.. Mwalimu wa usafi na mazingira
  2. Kufungua shule.. Wanafunzi wote
  3. Bunge la wanafunzi.. Wanafunzi wote
  4. Kikao cha bodi ya shule.. Katibu
  5. Maandalizi ya maafali kidato cha IV.. Kidato cha IV
    
 41. study tours kitaaluma.. Mwalimu wa taaluma
  2. Vikao TAHOSSA.. Mkuu wa shule
  3. Tathimini ya miradi ya shule.. Mwalimu wa malezi
    
OCTOBA11. CSEE.. Kidato cha IV
  2. Ukaguzi wa ufundishaji.. Mkuu wa shule
    
 21. Michezo ya kirafiki.. Mwalimu wa michezo na wanafunzi
  2. Gwaride, Bendi.. Mwalimu wa michezo na wanafunzi
    
 31. Kutunga mitihani ya mwisho wa mwaka.. Walimu
  2. Kuandaa taarifa za shule.. Mwalimu mkuu/mhasibu
  3. Kikao cha wazazi.. Mkuu wa shule