COMMUNITY

Kijiji cha Nkoma kama kinavyoonekana kutokea shuleni kwetu.
Hii ndio center ya kijiji cha Nkoma, Meatu. Picha ilichukuliwa  kipindi cha kiangazi kama unavyoona  hili eneo huwa ni kavu sana. Kuna ushirikiano na maelewano mazuri kati ya walimu na wenyeji wa kijiji hiki cha Nkoma.